- Kila mwaka: TSh 2,363,283,779.00
- Kila mwezi: TSh 196,940,314.92
- Kila wiki: TSh 45,447,764.98
- Kila siku: TSh 9,089,553.00

From the moment you arrived on this page, Holly Willoughby has earned:
Westlife ni kundi la muziki la nchini Ireland, lililoundwa tarehe 3 Machi 1998.Asili ya kundi hili linajumuisha wanamuziki kama vile Nicky Byrne, Kian Egan, Mark Feehily, Shane Filan na Brian McFadden ambaye ameacha kuimba katika mwaka 2004. Kwa sasa Feehily na Filan ndio wanaotumika kama waimbaji wakuu katika bendi hii. Bendi hii ya Westlife ndiyobendi pekee katika historia ya muziki wa Uingereza kuwahi kuwa na nyimbo za kwanza saba moja kwa moja hadi namba moja, na pia wameweza kuuza hadi nakala zaidi ya milionim arobaini na tano dunia nzima. Ambayo inajumuisha nyimbo zilizorekodiwa studio,video, na albamu zenye kujumuisha nyimbo mbalimbali.
Wikipedia page about WestlifeVyanzo
- Picture: Eric The Fish, Wikipedia — Attribution (CC BY)
- Text: Yahoo News UK
- Text: Edinburgh News
- Text: Mirror
- Text: Mirror
- Text: Wikipedia
For the picture, the full credits and the applicable licence are accessible via the source link. The only change made to the picture is the cropping of the picture, to highlight the person shown.
Update: 2025-1