This page was last updated on: 2025-01-22 Mapumziko ya Kunyonyesha Kwa Mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, mfanyakazi wa kike ana haki ya mapumziko ya kunyonyesha ya hadi masaa 2 kwa siku. Chanzo: § ya 33 ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini , 2004 Kuhusiana mada Uzazi na Kazi