Kima cha Chini cha Mshahara – Tanzania

  • Halali katika Machi 2024

Saa zako za kazi

  • Mshahara kwa mwezi – Kiwango cha kila mwezi uhesabiwa kwa msingi wa siku 26 za kufanya kazi kwa mwezi au saa 234 kwa mwezi.
    Mshahara kwa siku – Kiwango cha kila siku uhesabiwa kwa misingi ya saa 9 za kufanya kazi kwa siku.
    Mshahara kwa wiki – Kiwango cha kila wiki uhesabiwa kwa misingi ya saa 45 kwa wiki au siku 6 za kufanya kazi kwa wiki.
    Mshahara baada ya wiki mbili– Kiwango cha kila wiki mbili uhesabiwa kwa misingi ya saa 12 za kufanya kazi.

Ufafanuzi

Zanzibar: Saa za kazi ni saa 42 kila wiki - siku 6 za kazi katika wiki na saa 7 za kazi kila siku. Hata hivyo saa zinaweza kuongezewa hadi 45 baada ya makubaliano. Katika wajibu wa zamu muda unaweza kuongezwa hadi saa 48 kila wiki.

Tarehe ya masahihisho yatakayofuata katika viwango vya kima cha chini cha mishahara haitangazwi na Serikali.Hata hivyo, mishahara ya sasa inatarajiwa kudumu kwa miaka mitatu ifuatayo (hadi 2016).

Chanzo

Hesabu ya Muda wa malipo – Kulingana na sehemu ya 19 ya Sheria ya 2004 ya Mahusiano ya Ajira na Wafanya kazi

Maelezo zaidi inapatikana kwa

Archives ya chini ya Mshahara - Tanzania

Loading...