Kima cha Chini cha Mshahara – Bara - Huduma za Nyumbani na Hospitalini

  • Halali katika Aprili 2024
  • Viwango vya kima cha chini cha ni katika Shilingi Tanzania (Sh).

Industry

Kima cha Chini cha Mishahara kwa Saa Kima cha Chini cha Mishahara kwa Siku Kima cha Chini cha Mishahara kwa Wiki Kima cha Chini cha Mishahara kwa Wiki mbili Kima cha Chini cha Mishahara kwa Mwezi
Hoteli Inayowezekana na ya Watalii
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
TSh 1,539.00 TSh 11,539.00 TSh 69,236.00 TSh 138,472.00 TSh 300,000.00
Hoteli Wastani
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
TSh 923.00 TSh 6,924.00 TSh 41,452.00 TSh 83,083.00 TSh 180,000.00
Mikahawa, Vyumba vya Wageni na Baa
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
TSh 769.00 TSh 5,770.00 TSh 34,618.00 TSh 69,236.00 TSh 150,000.00
Wafanya kazi wengine wa nyumbani
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
- - - - TSh 40,000.00
Wafanyakazi wa nyumbani isipokuwa walioajiriwa na mabalozi na wafanyabiashara wakuu na na maafisa wenye haki ambao hawaishi katika kaya ya mwajiri
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
TSh 615.00 TSh 4,616.00 TSh 27,694.00 TSh 55,389.00 TSh 120,000.00
Wafanyakazi wa nyumbani walioajiriwa na maafisa wenye haki
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
TSh 1,026.00 TSh 7,693.00 TSh 46,157.00 TSh 92,315.00 TSh 200,000.00
Wafanyakazi wa nyumbani walioajiriwa na Mabalozi na wafanyabiashara Wakuu
Mshahara wa chini unatokana na 1 Januari 2023. Ilisasishwa mwisho 15/01/2024
TSh 1,282.00 TSh 9,616.00 TSh 57,697.00 TSh 115,393.00 TSh 250,000.00

Saa zako za kazi

  • Mshahara kwa mwezi – Kiwango cha kila mwezi uhesabiwa kwa msingi wa siku 26 za kufanya kazi kwa mwezi au saa 234 kwa mwezi.
    Mshahara kwa siku – Kiwango cha kila siku uhesabiwa kwa misingi ya saa 9 za kufanya kazi kwa siku.
    Mshahara kwa wiki – Kiwango cha kila wiki uhesabiwa kwa misingi ya saa 45 kwa wiki au siku 6 za kufanya kazi kwa wiki.
    Mshahara baada ya wiki mbili– Kiwango cha kila wiki mbili uhesabiwa kwa misingi ya saa 12 za kufanya kazi.

Ufafanuzi

Zanzibar: Saa za kazi ni saa 42 kila wiki - siku 6 za kazi katika wiki na saa 7 za kazi kila siku. Hata hivyo saa zinaweza kuongezewa hadi 45 baada ya makubaliano. Katika wajibu wa zamu muda unaweza kuongezwa hadi saa 48 kila wiki.

Tarehe ya masahihisho yatakayofuata katika viwango vya kima cha chini cha mishahara haitangazwi na Serikali.Hata hivyo, mishahara ya sasa inatarajiwa kudumu kwa miaka mitatu ifuatayo (hadi 2016).

Chanzo

Hesabu ya Muda wa malipo – Kulingana na sehemu ya 19 ya Sheria ya 2004 ya Mahusiano ya Ajira na Wafanya kazi

Maelezo zaidi inapatikana kwa

Loading...