Majukumu ya kifamilia

Likizo ya uzazi kwa Mwanaume/ baba

Hakuna toleo katika sheria kuhusu livu ya ubaba inayolipiwa au kutolipiwa kwa akina baba wapya siku ya kuzaliwa kwa mtoto.

Likizo ya malezi ya mtoto

Hakuna toleo katika sheria kuhusu livu ya uzazi inayolipiwa au kutolipiwa.

Kazi mbadala zinazoruhusu kukidhi majukumu ya kifamilia kwa mfanyakazi mwenye mtoto mchanga

yaliyoweza kupatikana katika sheria yanayounga mkono usawazishaji wa kazi na maisha kwa wazazi au wafanyakazi wenye majukumbu ya kifamilia.

loading...
Loading...