- Kila mwaka: TSh 34,505,569,341.00
- Kila mwezi: TSh 2,875,464,111.75
- Kila wiki: TSh 663,568,641.17
- Kila siku: TSh 132,713,728.23

From the moment you arrived on this page, Yang Mi has earned:
Oligonukleotidi ni molekuli fupi za Asidi DeoksiriboNukleini (ADN) au Asidi RiboNukleini (ARN), zilizo na matumizi mbalimbali kama vile katika upimaji wa vinasaba, utafiti na biolojia ya ujasusi. Molekuli hizi hutengenezwa katika maabara kwa usanisi wa kemikali wa solid-phase. Aidha, zinaweza kutengenezwa kama molekuli zenye strandi moja kwa kuzingatia mfuatano ulioagizwa na mtumiaji,hivyo basi ni muhimu katika usanisi wa jeni bandia, polymerase mnyororo mmenyuko (PCR), utambuzi mpangilio wa DNA, molecular cloning na kama molecular probes. Katika viumbehai, oligonukleotidi hupatikana kama molekuli ndogo za RNA zinazotumika katika udhibiti wa utengenezaji wa protini kutokana na taarifa iliyopo kwenye jeni.
Wikipedia page about OligonukleotidiVyanzo
- Picture: Wikipedia
- Text: Today Online
- Text: Today online
- Text: Wikipedia
For the picture, the full credits and the applicable licence are accessible via the source link. The only change made to the picture is the cropping of the picture, to highlight the person shown.
Update: 2022-6