Mshahara Leo XIV

Papa
Kuzaliwa: 1955, United States
  • Kila mwaka: TSh 0.00
  • Kila mwezi: TSh 0.00
  • Kila wiki: TSh 0.00
  • Kila siku: TSh 0.00
Leo XIV
This summary is provided by Wikipedia

Papa Leo XIV, O.S.A. ni kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki na Mtawala wa Mji wa Vatikani. Alichaguliwa kuwa Papa tarehe 8 Mei 2025 kufuatia kifo cha Papa Fransisko. Ndiye Papa wa kwanza kutoka Marekani na Amerika ya Kaskazini kwa ujumla. Akiwa mtawa wa Shirika la Mtakatifu Augustino (O.S.A.), aliwahi kuhudumu katika nyadhifa za juu ndani ya shirika hilo na ndani ya ofisi kuu za Kanisa, zikiwemo Mkuu wa Idara ya Maaskofu na Rais wa Tume ya Kipapa kwa Amerika ya Kilatini.

Wikipedia page about Papa Leo XIV

Salary of the pope: The "relevant agencies of the Holy See" provide all the daily needs of the Pope, according to a papal spokesman, e.g: Rent free living in the Vatican Palace, free traveling and security.

Vyanzo

For the picture, the full credits and the applicable licence are accessible via the source link. The only change made to the picture is the cropping of the picture, to highlight the person shown.

Update: 2025-5

Loading...