- Kila mwaka: TSh 24,707,021,310.00
- Kila mwezi: TSh 2,058,918,442.50
- Kila wiki: TSh 475,135,025.19
- Kila siku: TSh 95,027,005.04

From the moment you arrived on this page, Harrison Ford has earned:
Harrison Ford Ni muigizaji wa filamu kutoka nchini marekani. Anafahamika zaidi kwa ujasili wake kwa kuwa nahodha "Han Solo" katika mfululizo wa filamu ya 'Star Wars.
Na pia kuwa mtafiti wa vitendo, Yaani kila anachojaribu kukitafiti yeye huwa asomi tu bali mpaka akione chanzo chake, anafahamika kama Dr. Henry 'Indiana Jones' katika mfululizo wa filamu ya Indiana Jones. Ford pia amewahi kuwa nyota wa filamu nyingi tu za hali ya juu ikiwemo ile ya Air Force One na Fugitive ambazo pia zilimpa heshima kubwa na umaarufu pia mbali na zile za mwanzo zilizokuwa zinafahamika kama 'Indiana Jones'.
Vyanzo
- Picture: Wikipedia
- Text: FlickonClick
- Text: Variety
- Text: Menshealth
- Text: The Things
- Text: Forbes
- Text: Menshealth
- Text: Forbes
- Text: Wikipedia
- Text: Variety
For the picture, the full credits and the applicable licence are accessible via the source link. The only change made to the picture is the cropping of the picture, to highlight the person shown.
Update: 2023-6