Family Responsibilities

Paternity Leave

Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini 2004 inatoa likizo ya malipo ya uzazi kwa baba kwa angalau siku 3 (katika kipindi cha likizo cha miezi 12) kwa baba mgebi ikiwa likizi hii itachukuliwa katika siku 7 za kuzaliwa kwa mtoto. Mwajiri anaweza kuhitaji uthibitishaji usio na shaka wa kuzaliwa kwa mtoto kabla ya kulipia likizo ya uzazi kwa baba.

Chanzo: § ya 34 ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya 2004

Parental Leave

Sheria haina kifungu kinacho elezea kwamba baba apewe likizo ya uzazi yenye malipo au isiyo na malipo.

Flexible Work Option for Parents / Work-Life Balance

Hakuna kifungu cha sheria kinacho ruhusu mfanya kazi kukidhi mahitaji ya kazi na familia hususani anapokuwa na mtoto mchanga.

Regulations on Family Responsibilities

  • Employment and Labour Relations Act, No. 6 of 2004 / Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Sehemu ya 6 ya 2004
loading...
 

 
 
Loading...