loading...
- Wanandoa maarufu
- Kuzaliwa: she 1969, he 1944
- Kila mwaka: £ 0.00
- Kila mwezi: £ 0.00
- Kila wiki: £ 0.00
- Kila siku: £ 0.00
This summary is provided by Wikipedia:
Michael Kirk Douglas ni mwigizaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Douglas alianza kufahamika zaidi baada ya kuigiza kama Insp. Steve Keller kutoka katika tamthilia ya Streets of San Francisco iliyokuwa inaonyeshwa katika miaka ya 1970. Douglas, baadae akaja kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wakubwa kabisa duniani na akabahatika kushinda tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 1987 kwa kuigiza filamu ya Wall Street kama mwigizaji bora wa filamu hiyo.
Wikipedia page about Michael Douglas